TUKANYAMAZA LYRICS by Nduati ft Silvah Mistarish

TUKANYAMAZA LYRICS by Nduati ft Silvah Mistarish

[CHORUS: Nduati]
Tuliongelea Abisai tukanyamaza
Khaligraph na kutoa tint tukanyamaza
Tukaongelea githeriman tukanyamaza
Lakini neno la Bwana bado linasimama
Abisai? Tukanyamaza
Kutoa tint? Tukanyamaza
Githeriman? Tukanyamaza
Lakini neno la Bwana bado linasimama

[VERSE 1: Nduati]
Wasichana waliomba, wakitaka Chiloba
Kusikia ameoa, wakarudi sober
Alafu kukakuja huyu Wavinya Ndeti
Methali akaharibu kama pesa za betting
Eti eh, “Yaliyo ndwele sipite”
Woi mtu asimamishe dunia nishuke
Alafu kila mtu akaingia Sarahah
After siku tatu washachoka na Sarahah
Alafu kila mtu SGR
Alafu kila mtu tunaenda Kanaani
Issa while izi jina sijaskia
Zimekuwa ka zile hekaya za zamani
Tuliongelea hizi zote tukanyamaza
But waza, unasema haijawai kukushangaza
That neno la Bwana bado linasikika
Btw, bado watu hubonga ju ya Sidika?

[CHORUS: Nduati]
Tuliongelea Abisai tukanyamaza
Khaligraph na kutoa tint tukanyamaza
Tukaongelea githeriman tukanyamaza
Lakini neno la Bwana bado linasimama
Abisai? Tukanyamaza
Kutoa tint? Tukanyamaza
Githeriman? Tukanyamaza
Lakini neno la Bwana bado linasimama

[SKIT]
Haya basi wananchi
Basi tumkaribishe rais wa genge

[VERSE 2: Silvah Mistarish]
Hivi ndivo me hureason
Round hii tukikosana Kwa ndoa hakuna kwenda
Ukijam nakuambia tano tena
Beat ni flames imebidi nitende wema
Tumesota lakini hatuhami fedha
Tunapendana Si Ni ma brother
Tumepanga ikae tunapigana
Nipoa Ku trend but ild rather
Nikose ya dunia Na nisikose za father
Tuliongelea Mayweather – Tukanyamaza
Transformer Na stima Nyeri -Tukanyamaza
Zilizopendwa tuliimba Na -Tukanyamaza
Rhumba Si tuli katika – kila sitanza
Batimayo hadi leo Si hatujanyamaza
Hannah na Sarah bado hatujanyamaza
Ukilishwa fish Na mkate, utanyamaza?
Tumekopa story ya doh, bonga Tunanyamaza

[CHORUS: Nduati]
Tuliongelea Abisai tukanyamaza
Khaligraph na kutoa tint tukanyamaza
Tukaongelea githeriman tukanyamaza
Lakini neno la Bwana bado linasimama
Abisai? Tukanyamaza
Kutoa tint? Tukanyamaza
Githeriman? Tukanyamaza
Lakini neno la Bwana bado linasimama

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: