NISHAMPATA LYRICS by MALUDA

NISHAMPATA LYRICS by MALUDA

Ako nami ako nami
Nishampata nishampata
Mpenzi wa ukweli
Kwenye shida na raha ako nami
Mpenzi wa ukweli
Nishampata nishampata
Mpenzi wa ukweli
Nishampata nishampata
Mpenzi wa ukweli

VERSE ONE
Nikiona pali Mungu amenitoa
Nashukuru vile umenukweli
Mia kwa mia thao kwa thao
Umeni arrest uta fikiri karao
Nikiangalia vile umeni raise
Suna budi ila mi kukupa praise
Ndio maana nawa gonga na ma one two
Ndani ya Yesu hakuna Nilot ama Bantu
Umenipenda nani najua penzi lako la hakika
Umeni jaza nani alafu ndio maana nakatika
Ye rafiki wa thati anami anipa amani kila wakati
Ye rafiki wa thati anami anipa amani kila wakati
Ahhh hakuna pali naishia umeniweka safe hakuna kitu na fear
Ukipanda nina didimia na kwa neno lako nina ninginia
Jesus! we ndio king of kings hao wengine wanabee we ndio prince of peace
Na najua niki omba unani skia roho yangu basi mi nakupa mia

CHORUS
Nishampata nishampata
Mpenzi wa ukweli
Nishampata nishampata
Mpenzi wa ukweli
Kwenye Shida na raha ako nami
Mpenzi wa ukweli
Nishampata nishampata
Mpenzi wa ukweli

VERSE TWO
Ananipenda hata kama nime sota
Q ta C bro mi sirudi ocha
Mia kwa mia thao kwa thao ameni arrest utafikiri karao
Neno lake ndio mi nategemea na vile atasema ndio mi na endelea
Neno lake ndio mi nategemea na vile atasema ndio mi na endelea
Umenipenda nani najua penzi lako la hakika
Umenijaza nani alafu ndi maana nakatika
Ye rafiki wa thati anami anipa amani kila wakati
Ye rafiki wa thati anami anipa amani kila wakati
Ahhh mi nasifu niki dance tu, nipate niki praise ma hands tu
Nashukuru pali God umeni toa, Nashukuru God umeniweka poa
Mi sijali hata wakini debate, nitakusifu hadi nikuwe the late
Mi sijali hata wakini debate, nitakusifu hadi nikuwe the late

CHORUS
Nishampata nishampata
Mpenzi wa ukweli
Nishampata nishampata
Mpenzi wa ukweli
Kwenye Shida na raha ako nami
Mpenzi wa ukweli
Nishampata nishampata
Mpenzi wa ukweli

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: