NIFUNZE LYRICS by Bire The Vocalist

NIFUNZE LYRICS by Bire The Vocalist

VERSE 1
Kama miaka sita iliyopita
Sikuwa na jina wangeniita
Sikuwa na wimbo mi ningeimba,
Sikuthani maisha yangu ingebadilika
Pole pole tu
Ninasonga juu
Unanifunza tu
Mwalimu wangu
Isifike mahali baba
Mi niringe
Isifike mahali baba
Nijiinue

PRE CHORUS
Hizo makofi
Hizo mashangwe
Hizo manduru zisinichanganye x2

CHORUS
Eeh baba eeh nifunze
Naomba eeeh nifunze
Ikiwa sijui kukuabudu baba nifunzee
Ikiwa sijui kukukupa utukufu nifunzee

VERSE 2
Ninaimba juu uliniita
Nikifika juu pokea sifa
Nisiwe na roho wa kujiringa
Isifike siku nipewe sifa
Pole pole tu mi nisonge juu
Unifunze tu mwalimu wangu
Kujigamba kiburi baba nikianza
Bila wewe baba nitazama

PRE CHORUS
Hizo makofi
Hizo mashangwe
Hizo manduru zisinichanganye x2

CHORUS
Eeh baba eeh nifunze
Naomba eeeh nifunze
Ikiwa sijui kukuabudu baba nifunzee
Ikiwa sijui kukukupa utukufu  nifunzee x2

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: