NI WEWE LYRICS by MWANGI NIMO

NI WEWE LYRICS by MWANGI NIMO

VERSE 1
Uliniona nilipopotea,
Kaniosha Mimi, kanipa Uzima.
Uliniona nikiwa mpweke, kanipa upendo,
Sasa Niko Huru…

We have come to praise your Holy name, Today!
We have come oh,  to praise your Holy name!

CHORUS
Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe!
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe! X2

VERSE 2
Maishani mwetu twasema ni Wewe,
Unaye Bariki , Unaye okoa.
Twa…kukimbilia Wewe, twajificha kwako Unaye tujali! X2

We have come to praise your Holy name today!
We have come oh,  to praise your Holy name!

CHORUS
Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe!
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe! X2BRIDGE
Wewe kipenzi cha roho zetu
Wewe tulizo la roho zetu
Wewe waponya nafsi zetu
Wewe ni mwanzo tena mwisho

CHORUS
Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe!
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe! X2

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: