NADEKA LYRICS by Guardian Angel x Phil

NADEKA LYRICS by Guardian Angel x Phil

CHORUS

Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka
Niko mikononi mwake
Kila kitu Kiko better

Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka
Niko mikononi mwake
Kila kitu Kiko better

VERSE 1

Ibilisi ananyeta
Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta
anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better
Inazidi kunyesha

Ibilisi ananyeta
Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta
anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better
Inazidi kunyesha

Aisifuye mvua imemnyea, namsifu juu amenitendea
Maajabu
Maajabu
Ata wewe ukimkujia najua atakutendea maajabu
MaajabuKuna wenye dhambi wengine takatifu jua likiwaka linawawakia wote wengine janja janja wengine waaminifu mvua ikinyesha inawanyeshea wote

Kuna wenye dhambi wengine takatifu jua likiwaka linawawakia wote wengine janja janja wengine waaminifu mvua ikinyesha inawanyeshea wote

CHORUS

VERSE 2

Mungu wangu anapenda penda penda na sa ndio maana mi na deka deka deka
Mungu wangu anapenda deka penda deka ananipenda na deka.

Mungu wangu anapenda penda penda na sa ndio maana mi na deka deka deka
Mungu wangu anapenda deka penda deka ananipenda na deka.

BRIDGE

Ukimuita anacome through maombi anajibu ndio maana namsifu

CHORUS

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: