MWAMBA DHABITI LYRICS by ALICE MKAMBOI

MWAMBA DHABITI LYRICS by ALICE MKAMBOI

VERSE 1
Wenye magonjwa waponywa,
Shida zote we waona, Hakuna jambo geni kwako,
Yote ninayo uwezo wako, sina la kujivunia,
Njia ulitengeneza, wewe ndiwe Ebenezer,
Muweza yote.

VERSE 2
Hosana, nakuita baba, nakutazamia, nisipotee
Ewe mwana, mwana wa Daudi,
Sikia yangu sauti, usinipite

CHORUS
Na siendi bila wewe, siwezi bila wewe,
We ndo mwanga wangu, mwamba dhabiti
Sina mbele wala nyuma ,usipo niongoza,
We ndo mwanga wangu mwamba dhabiti.

VERSE 3
Wenye magonjwa waponywa,
Shida zote we waona,Hakuna jambo geni kwako ,
Yote ninayo uwezo wako, sina la kujivunia,
Njia ulitengeneza, wewe ndiwe Ebenezer ,
Muweza yote.

CHORUS
Na siendi bila wewe, siwezi bila wewe,
We ndo mwanga wangu, mwamba dhabiti
Sina mbele wala nyuma, usipo niongoza,
We ndo mwanga wangu mwamba dhabiti

BRIDGE
Siwezi bila wewe x2
Mwanga wangu…ohh

CHORUS x3
Na siendi bila wewe, siwezi bila wewe,
We ndo mwanga wangu, mwamba dhabiti
Sina mbele wala nyuma ,usipo niongoza,
We ndo mwanga wangu mwamba dhabiti.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: