LYRICS: WACHA – RECAPP

LYRICS: WACHA – RECAPP

VERSE 1 – MANOLO
Party tumefika ati kumechacha
Pombe usipime si tushamanga
Leta hako kajaba tuanze kuchanaaa
Hizo ndizo vitu tuliwacha
Na kuna marafiki tulishaachana
Na wale wasichana wa kukuja sana
Everything changed since I met the father
kuna vitu alisema wacha
Its for real bruh I aint trippin
Find me at the chapel coz you know we always winning
Everybody’s talking about it coz its official when it comes to Recapp its always Proud to be a christian

CHORUS
Hakuna ukristo nusu nusu
Ndani ama nje choose 1 tu,
Hey ukitaka kuja this side
Kuna vitu zenye utawacha
Utawacha
Kuna vitu zenye utawacha
Uta wacha wacha wachana nayo

VERSE 2 – ASKOYE
Bubble gum music mliitisha
Ndio hii tunawapa basi shika
Kulewa sana na kuivishaa du hizo ndio form tulisema wacha
Na avandu avo vhenyanga khuvaya nu vwongo vweru vhenyanga khuchaya uvolashina khandi ted ah ah vindu vitamanu khuvola Wacha
Wacha wachana nayo
Tutasell out kasa ama nyayo
Steady reppin for Jesus with all the fellow believers
He said He’ll never leave us so injili nayo nayo

VERSE 3
Edward: Kss kss we msup si umeiva
Nelly: Nimeiva kwani mi ni njiva?
Edward: Una maringo unajidai we ni diva na mashore ni wengi wanadai kujipa
Nelly: Na siwajipe! Si kuringa kuna time ningekuja bila kupinga singejali ka una nduthi au dinga
Edward: Na mbona unakataa?
Nelly: Hizo ndizo vitu niliwacha

Nairobi yeah you know where to find us
The whole city is behind us
When we in the club then you know its T minus and the whole crowd jumping

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: