Lyrics: OUT OF 10 by Pithuu

Lyrics: OUT OF 10 by Pithuu

[HOOK]
Out of 10 nitakurate aji nahaukudie for one,
Hallelujah linatimia andiko linenalo.
REPEAT X4

[VERSE 1]
Education ni key waligundua gun ina magazine,
Wanalaugh tukidie kwao hio ni comedy,
Hawalove tukipreach for Jesus tunastandup
Mkono moja juu huyu anatafuta answer
Si mungu atamjibu dere wa nganya mpe hamsa, – hosea 9:9
Salvation ni bure lakini hebu pay attention,
The father of lies devil atakweka detention,
Utadhani ni God madame na yao attention,
Sex b4 marriage utaishi in regretion,
Hii ni campus, babe nipate room 9,
Aliachwa na ball sai ye si alumni,
Baridi na jua tunavaa juu weather inamata,
Jiulize kuoneshwa cleavage whether inamata,
Ooh kila kukicha utadhani ni kicha,
Yanayotendeka hautamani picha

[HOOK]
Out of 10 nitakurate aji nahaukudie for one,
Hallelujah linatimia andiko linenalo.
REPEAT X4

[VERSE 2]
Nirudishie mungu shukrani juu mimi ninaearn,
Nijirudishie shukrani koinange na yule ann,
The latter nikushangaa kaa nero mimi ninaburn,
Wanatii sauti ya mganga wanaingia kinyumenyume,
Hawatii sauti ya mungu ndoa ni mke na mume,
Unahate nikipreach, mi nateach, Christ ndio lead,
Nikigo after the one sheep kwako ati hio ni greed,
Of course show inapay, na kwa kila artist hio ni niche,
Yesu alisema asiyegather nayee anatawanya – Mathew 12:30
Mbona mweke watu njaa na mkate anagawanya,
Heri ni mtu asiyefwata shauri ya wasiohakii,
Tena yuko shy kusimama njia ya wakosaji – Psalm 1
Heshimu mama mzazi na pia your daddy,
Ndio siku zako ziwe mingi mob idadi – Ephesians 6:1-2

[HOOK]
Out of 10 nitakurate aji nahaukudie for one,
Hallelujah linatimia andiko linenalo.
REPEAT X4

[VERSE 3]
Think like a lady, act like a man,
Wapi Mwende na Mwenda,
Stori nikutoa tint na kuongeza ati figure,
Ni A na B, C utamaliza vigor- Proverbs 31:3
Kwa anayeokoka mi ni aloevera,
Anayeangamia anaskia ka mi namkera – 2 corinthians 2:15
Kama Abraham watenganishe na alot,
Juu wanaiba tukiona ile ya ceasor shillingi,
Step aside ndio term kwa hawa mashingingi,
Mtu hataishi kwa mkate tu,
Uwingi, ni kuskiza yatokayo kwa kinywa cha mungu – Mathew 4:4
Itakufaidi nini kugain the whole world,
Huku unaloose soul na uko na holy word – Mathew 16:26
Anafika late church kwani hana saa,
Naniwakwanza kwa za dunia anasaa

[HOOK]
Out of 10 nitakurate aji nahaukudie for one,
Hallelujah linatimia andiko linenalo.
REPEAT X4

Phoenix

Phoenix is the founder of Let Music Preach. He is also a creative who writes, deejays, does digital design and photography. He is passionate about using music to influence the masses.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: