LYRICS: NARUDI – Janet Otieno

LYRICS: NARUDI – Janet Otieno

VERSE 1
Wacha nianze kwa kusema samahani,
Nimejishughulisha na mambo mengi,
Nikasahau kukupa shukurani, eeh
Sasa nahisi uko mbali na ni mimi niliasi,
Leo nasimama kiasi,
Najichunguza ndani moyoni,
Yakija mawimbi na kwako sina msingi,
Nitafanya nini nitaenda wapi…

CHORUS
Kwa hivyo narudi
Kwako niko salama
Narudi
Wewe mwamba imara
Narudi
Kwako nitasimama
Narudi, narudi, narudi
Narudi
Kwako niko salama
Narudi
Wewe mwamba imara
Narudi
Kwako nitasimama
Narudi, narudi, narudiVERSE 2
Eh baba yangu makosa nakubali,
Niliitisha mali niende mbali,
Nilijiona nimekomaa,
Hata sikuhitaji,
Nimegundua pekee yangu siwezi,
Leo nasimama kiasi,
Najichunguza ndani moyoni,
Yakija mawimbi na kwako sina msingi,
Nitafanya nini nitaenda wapi…

CHORUS
Kwa hivyo narudi
Kwako niko salama
Narudi
Wewe mwamba imara
Narudi
Kwako nitasimama
Narudi, narudi, narudi
Narudi
Kwako niko salama
Narudi
Wewe mwamba imara
Narudi
Kwako nitasimama
Narudi, narudi, narudi

MUSIC……

Narudi, Narudi
Narudi, Narudi
Narudi, Narudi
Narudi, Narudi
Narudi, Narudi,
Narudi, Narudi,

Phoenix

Phoenix is the founder of Let Music Preach. He is also a creative who writes, deejays, does digital design and photography. He is passionate about using music to influence the masses.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: