LYRICS: MAASAI NAIROBI – Cytah

LYRICS: MAASAI NAIROBI – Cytah

INTRO
Yea,Cytah
Maasai Nairobi,
OK
I was dead but now im alive,
Lost but now im found,
Protected by holy spirit angels wake wameni surround,
Ilibidi me nirudi home na nimefika safe n sound,
Said I’m back to my father’s kingdom sai niko around…(check it)CHORUS
MAASAI NAIROBI MAASAI NAIROBI

MAASAI MAASAI MAASAI NAIROBI…*2

VERSE 1
Alive n kicking unadhani ni wanyama na mpira,
I bring my greetings za maasai wote kutoka interior,
Kwake mimi ni inferior,
Mungu Wangu ni superior,
Jina lake lisifiwe kisumu???Hadi muranga kwa mwangi iria,
Jehovah Jireh ni mnoma,
Atakubariki atakama hujasoma,
Jehovah Nissi ni mnoma,
Juu yeye ndo full stop wengine ni comma,
Almighty king ni mnoma,
He’ll take you high ata Bila kuchoma,
Baraka zake ntakua nikingoja,
Na neno lake ntakua nikisoma,
Ero maasai nairobi,
Yesu anabisha hodi,
Ma-barbie na ma odi,
Yesu anabisha hodi,
We mpe roho yako ju ashaalipa kodi,
We mpe roho yako abadilishe ur body,

BRIDGE
Nasema Maasai Nairobi,
Kumsifu Yesu ni hobby,
Arejo,
Maasai Nairobi amekam kubisha hodi…*2

CHORUS

VERSE 2
Though alinipa kila kitu? Nilimgeuzia kama danyaa,
Nikaenda na Mali yote nikaenda kuanza kuhanyaa,
Kula kitu kila kitu unaeza dhani me ni panya,
Vitu nilifanya,
Nikiwa na ma-ndranya,
Ustakejua vile Mali ilisanywa (story of the prodigal son)

Vako za devo me zilinipaara,
Nikajipata nikona maswaara,
Badala ya pumzi navuta sigara,
Ndani ya ndhambi nilikuaga imara,
Sai msalaba kwangu ndo ishara,
Freshi kuliko maziwa ya ilara,
Uliza hadi madame wa mtaa?
Vile bible me huwaga nadaara,

Kata dhambi kaa makasi,
One eleven on my jersey,
Hit the scoreline Bila pasi,
Mbinguni Buda me nikona nafasi…*2

BRIDGE
Kiirobe Nairobe,
Kiirobe Nairobe,
Naati niiata yesu??
Neirogua Nairobe….*2

CHORUS

VERSE 3
Ye ndo my leader?
He’s my defender,
Siwezi ku-kopa HE my provider il be the spender,
Kwako najipa,
Lord nime-surrender,
Ntatii amri zako design ya refa kwa grao akipiga kipenga

Phoenix

Phoenix is the founder of Let Music Preach. He is also a creative who writes, deejays, does digital design and photography. He is passionate about using music to influence the masses.

One thought on “LYRICS: MAASAI NAIROBI – Cytah

  • March 29, 2018 at 6:18 PM
    Permalink

    Mmmh maasai Nairobi for life men I really enjoy ur music big bro can’t wait for your next one

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: