Lyrics: ILE SIKU by Godson Jawabu

Godson Jawabu – ILE SIKU Lyrics

INTRO
Hii ni no-no-no- noma
Jawabu kwenye dondoo noma
Hii ni no-no- noma
Jawabu kwenye dondoo, dondoo
Oohh ohh yeah eeeheh yeah

CHORUS
Leo ni ile siku, mapepo zita toro zita toroka
Leo ni ile siku, naweka chini sorrow, chini sorrow
Leo ni ile siku, ukuta zita bomo zita bomoka
Leo ni ile siku, injili ina take over ina take over ehe

VERSE 1
Brother Johnny/aliye kuwa first body
Amepata sir Goddy/Life yake ni testimony mmmhh
Sista maggy/ Yule shhhh wa mitaani, slay queen
Amekubali/Upendo wa calivary
Kwa ma club wana lewa na wine/Wanaloba
seriously Kwa kanisa tunapewa divine/Tuko sober apparently

HOOK
Shetani ameshindwa jo, na amejiletea shida jo
Juu sisi tumelindwa jo, tume tume tume lindwa jo

CHORUS
Leo ni ile siku, mapepo zita toro zita toroka
Leo ni ile siku, naweka chini sorrow, chini sorrow
Leo ni ile siku, ukuta zita bomo zita bomoka
Leo ni ile siku, injili ina take over ina take over ehe

VERSE2
Tulianza na AFLEWO/ Groove Tour kila eneo
Mara kesha kila leo/ witness for Jehova
Katoloni ni kuseo (novaa)/ maombi tegemeo (omba)
Toa Audio na Video/ Gospel taking over
Shetani amepigwa bao/ Yesu kiboko yao
Unafiki umepigwa bao, Yesu kibOko yao

HOOK
Shetani ameshindwa jo, na amejiletea shida jo
Juu sisi tumelindwa jo, tume tume tume lindwa jo

CHORUS
Leo ni ile siku, mapepo zita toro zita toroka
Leo ni ile siku, naweka chini sorrow, chini sorrow
Leo ni ile siku, ukuta zita bomo zita bomoka
Leo ni ile siku, injili ina take over ina take over ehe

BRIDGE
Shetani
Ana inama, Anainuka
Anaona moto anatoroka

CHORUS
Leo ni ile siku, mapepo zita toro zita toroka
Leo ni ile siku, naweka chini sorrow, chini sorrow
Leo ni ile siku, ukuta zita bomo zita bomoka
Leo ni ile siku, injili ina take over ina take over ehe

Phoenix

Phoenix is the founder of Let Music Preach. He is also a creative who writes, deejays, does digital design and photography. He is passionate about using music to influence the masses.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: