LYRICS: HEAVENLY FATHER – BLESSED BRIAN

Ooooww!
Blessed Brian

VERSE 1
Kwa kweli mungu nina mambo mengi ya kukueleza,
(Mmmhh!!)
Mwanzo nashukuru kwa uhai na upendo ulonipa
(Ahaaa!!)
Niliposhindwa Kupitia neno ulinihimiza
(Mmmhh!!)
Kwamba nisife moyo nikilemewa nikuombe wewe baba.
(Ahaaa!!)

BRIDGE
Ndo maana nakupenda – NAKUPENDA
Kwa kuwa wanilinda – WANILINDA
Na wewe wanipenda – WANIPENDA
Ni mengi umetenda Baba

CHORUS
Heavenly Father,
Lord you’re Jehovah,
Wewe ndo mwamba,
Tena imara,
Heavenly father,
Lord you’re Jehovah,
Nakupa sifa,
I praise you everyday.

VERSE 2
Mungu leo siku njema,
Another day
Umenipa na rehema,
Nazipokee
Japo dhambi mi hutenda,
Unisamehe
Naahidi kukusifu,
Wewe pekee
Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Izaka na Mungu wa Yakobo.
Mungu wa kesho, Mungu wa leo wa jana na kitambo.
Kanileta duniani, kanipa na uhai kanionyesha mambo.
Kanijaza na Imani na Baraka
Ntakusifu kwa nyimboBRIDGE
Ndo maana nakupenda – NAKUPENDA
Kwa kuwa wanilinda – WANILINDA
Na wewe wanipenda – WANIPENDA
Ni mengi umetenda Baba

CHORUS
Heavenly Father,
Lord you’re Jehovah,
Wewe ndo mwamba,
Tena imara,
Heavenly father,
Lord you’re Jehovah,
Nakupa sifa,
I praise you everyday.

VERSE 3
You’re ALFA, OMEGA,
REDEEMER, PROTECTOR
ABA FATHER, JEHOVAH
I praise you, Forever
You’re ALFA, OMEGA,
REDEEMER, PROTECTOR
ABA FATHER, JEHOVAH
I praise you, Forever.

Kule kwa wanyama – Simba Wa Yuda
Nikiwa na kiu – Maji Ya Uzima
Katika Mawe – Jiwe la shaba
Nikiwa na njaa – Mkate Wa Uzima
Baba…
(Eeeeeh… Babaaaaa! Ooooh!
Mmmmh!… Eeeeeh!)

BRIDGE
Ndo maana nakupenda – NAKUPENDA
Kwa kuwa wanilinda – WANILINDA
Na wewe wanipenda – WANIPENDA
Ni mengi umetenda Baba

CHORUS x2
Heavenly Father,
Lord you’re Jehovah,
Wewe ndo mwamba,
Tena imara,
Heavenly father,
Lord you’re Jehovah,
Nakupa sifa,
I praise you everyday.

BRIDGE
Ndo maana nakupenda – NAKUPENDA
Kwa kuwa wanilinda – WANILINDA
Na wewe wanipenda – WANIPENDA
Ni mengi umetenda Baba

“THANK YOU JESUS”

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: