LYRICS: Hadithi by Guardian Angel

LYRICS: Hadithi by Guardian Angel

Hadithi hadithi njoo
Hadithi hadithi njoo
Hadithi hadithi njoo

VERSE 1
Kuna bwana mmoja wa kichaa
alipenda kuomba chakula kwa mama fulani, mama fulani.
Siku moja yule mama alipanga amtilie sumu,
yule wazimu akila afe aondoke kabisa,
Kule njiani alipatana na watoto wa yule mama akawagawanyiaa kile chakula.
Watoto wake wakala wakafa, yule wazimu akabaki mzima
Ishara kwamba unayo yatenda unajitendea mwenyewe X 2

CHORUS
Ukitenda mema unajitendea mwenyewe
Ukitenda maovu unajitendea mwenyewe X 2

VERSE 2
Salimia watu pesa huisha
Gari hupata puncture hivi ni vitu vya dunia,
hichi kidole nacho wanyoshea watu. Vingine vile ninajinyoshea mwenyewe X 2
Ninaozungumza nao juu ya wenzangu, wanazungumza nao juu yangu mimi X 2
Tenda mema ondoka uende alo na chuki na wewe mpende kwasababu unayo yatenda unajitendea mwenyewe*2

CHORUS
Ukitenda mema unajitendea mwenyewe
Ukitenda maovu unajitendea mwenyewe X 2

Phoenix

Phoenix is the founder of Let Music Preach. He is also a creative who writes, deejays, does digital design and photography. He is passionate about using music to influence the masses.

One thought on “LYRICS: Hadithi by Guardian Angel

  • October 22, 2018 at 10:45 PM
    Permalink

    I like the song,congratulations

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: