KAMANDA FULL by Kamlesh Kagaba

KAMANDA FULL by Kamlesh Kagaba

Intro
Yeah, Kamanda Full
Kamanda wa Makamanda, this is my story, listen

Verse
1987, date eleven, mwezi wa seven
After baba kuponea, noma za Obote na Museven
Yaani vurugu  za Uganda, ndipo nilipo zaliwa Kamanda
Early 1990s hii nairobi nikabisha
Waruku burning shida zikanikaribisha
Mama jobless baba author cum publisher
Title poa but kihela hazikuendanisha
A family of six kwenye shack ya mbao
Nashuku nimewahi though sikumbuki nikilala ubao
Wengine wakila chakula finger licking
Our roof was leaking
Abit later, tukasonga to keja ya mabati
Room tu mbili but man ilikuwa bahati
Matha akapata job flani hata hairidhishi
But she always tried to come home na kitu cha kudishi
By then nilikuwa Kangemi primary aka gumbaro
Kabla nifike daro maze nilikuwa navuka mitaro
Vitu zikaimproove nikachange shule ya msingi to Muthangari
Nilihisi poa even though sio ati ni chuo kali
But ju iko located lavi
Nikaanza kuget exposure flani ya kibabi
Nakumbuka nikienda chuo kalesa, ubao inanileta
Ni grace tu ilinibeba
Two thao na moja
Interest ya hip hop ikaanza kugrow but ngoja
High school nikaenda Kitale pale boma high
Matha alifunguwa biz na ikapanda high
Form two, nikaanza kuandika bars tu kujibamba
By form three, nikashika M I C mara ya kwanza
Juu ya showcase fiti nikapewa tikiti
Kuenda Kijana Poa compe flani ilikuwanga eld
Hii ilikuwa 2004, boy mpyenga but anaslay show
Two thao na tano juu ya teo nikalay low
2006, nikadrop ni pambano
My debut single done by stano
By this time bado sijajua the gospel
Nilikuwa tu after kuwa na dope skill
Bonge la hypocrite, kuishi unlegit
Washi na kuparty man upevert indeed
Same year nikajipa kwa gospel nikaanza kusink in
Nikakiri damu ya Yesu ndio dawa ya my sinNikaweka all my faith in him
Hapa nimefika ni his work on the cross
Shout out to Pst. Dawson of course
2008, nikafunga virago nikarudi nai
Kuskuma hii mziki roho ju mpaka day itawai
Nikaaga maboy wangu akina Teddy B
Sikujua ndoto zitakam kujipa maen isivi
Nikameet Jefro pale wapi
Akaniinvite gig ya upendo chizi
Nikafeel at home kukick it na ma G
Wanapenda Jesus na Ministry
Mwaka huo ndio nilipoanza kudate mshi
Nikipray that one day atacome kuwa my wifey
2010, mabadiliko tour na jeshi ya kijiji
Irony ni walikuwa wanatoka ubabini na me kwa kijiji
After hapo nikaomba mshi tuipeleke next level
Mpaka bullet ya mwisho
Bonge la jiko, na recipe ya kucook
The Kagabas tulipitia but God did it for our good
Kuperform groove by then ilikuwa ni sifa
Tukado set ya CTA na ikajipa
Then as a guest nikaitwa show wapi
Gig yangu ya fao kukanjwa thao karibu twenty
May 2012 nikadrop ki debut album independence
Ila jeshi wakadai leta more content
2013, collabo “Chini ya Maji” na MOG
Beat commercial but, bado nikapenya ma G
2014 Feb sista akanicall usiku matha ako pabaya bro
Please say a prayer na ukiweza hata kesha bro
Kesho yake ngware, missed calls galore
Nikapigwa na wimbi
Nilipojua that matha alipromotiwa to glory
Kwa mapito yangu bado mfalme alikuwa juu
Nikaita Kabz tuabudu mfalme mkuu
2015, habari zikachipuka sophomore album
Project ilinitake much but I loved the outcome
Shout out to Othole Mukama kutonidoubt man
Genuine supporter, tangu day one
UrbanLight for life whether nifloat au nidrown son
Same year nikaingia bible college
Ive always had a zeal for sound biblical knowledge
2016, mwaka wa transition
From charismatic to the reformation
Usinibague kidenominational
Am not about the movements niko after what’s biblical)
Nikamove chuo nikamove church
2017 bado am still here, still a solid cat
Third floor naingia ka nimelearn much
Life yangu ni open book, nikae kwa local church
Ju bado sijatoboa bado nalearn kuendure poa
Na whatever happened to me, was never by accident
For me kufika hapa, neema ya Mola ni evident
Boy mchafu, but God huniosha
Character and family life the rest ni chocha.

2 thoughts on “KAMANDA FULL by Kamlesh Kagaba

  • July 19, 2017 at 3:00 PM
    Permalink

    Keep laboring for the sake of Christ and the Gospel.

  • July 19, 2017 at 9:53 PM
    Permalink

    Thank you for the encouragement

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: