HATUDAI LYRICS – Ben C and Nduati Murigi

HATUDAI LYRICS – Ben C and Nduati Murigi

Intro
Hatudai! No! No!
Me na Nduati hatudai! No! No!
Hatudai! Oh God!

Chorus
Ulizia uambiwe
Mambo za shetani hatudai we
Ulizia uambiwe
Mambo za shetani hatudai we
Hatudai! Hatudai hatudai hatudai! Hatutaki!
Hatudai! Hatudai hatudai hatudai!

Verse 1 – Ben C
Eti nimepata kacenti waniita nikaparty ni clabu gani leo itaweza?
Ama tufanye mziki kubambisha mabinti si bora kwenye club itachezwa? (no)
Nina nuru mbona nitembee kwa giza? (bro)
Naenda heaven nishapewa yangu visa. (yoh)
Njaro za ibilisi ziko ndani ya pipa.(Oh)Hihihihi
Sizidai mi (No)
Nimeshiba neno Yesu yuanilisha (bro)
Yaonekana utachoma yangu picha (yoh)
Nitabaki na Mwokozi wangu hadi Kifo…Mola
Utabaki wangu msingi eh Papaa we
Nikae ngumu kama mawe
Nkusifu mpaka ibilisi apagawee.
Ooh sitokukana we Eh Eh Eh ehhh

Chorus
Ulizia uambiwe
Mambo za shetani hatudai we
Ulizia uambiwe
Mambo za shetani hatudai we
Hatudai! Hatudai hatudai hatudai! Hatutaki!
Hatudai! Hatudai hatudai hatudai!Verse 2 – Nduati
Tunaongelea shetani, kwa ufupi shaito
Ni vital kurealise shaito hana title
Unafaa kuona vile alipigwa vita na Michael
Vile alilamba chini ungedhani ako Laico
Anataka niambie dem ladies wabendover
Kwani Mungu hakujua akiwaumba upright?
Na kwani hajui I’m a son of Jehovah?
Na mimi si Esau ati nitauza birthright
Shetani tokomea! Toka here; toka there!
Unacheki pale 18, ndio place nakuonea
Tunajua place tuko; Yesu ametuweka free
Sa tunakufukuza ka mtoto hajalipa fee
Niwaibie siri; shetani asiwaenjoy
Ako na job tatu: kukill, kusteal, kudestroy
Form za shetani usiwai anticipate
Ile form tu ako nayo ni death certificate

Bridge
Hatudai dai dai dai dai dai dai
So form za shetani usiwai anticipate
Hatudai dai dai dai dai dai dai
Ile form tu ako nayo ni death certificate

Chorus
Ulizia uambiwe
Mambo za shetani hatudai we
Ulizia uambiwe
Mambo za shetani hatudai we
Hatudai! Hatudai hatudai hatudai! Hatutaki!
Hatudai! Hatudai hatudai hatudai!

Ulizia uambiwe
Mambo za shetani hatudai we
Ulizia uambiwe
Mambo za shetani hatudai we
Hatudai! Hatudai hatudai hatudai! Hatutaki!
Hatudai! Hatudai hatudai hatudai!

Outro
Hatutaki! Yo! Yo!
Hatudai!

Watch video on YouTube [https://m.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=G58JYNRT0fY

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: