AMENIFANYIA AMANI LYRICS by Paul Clement

AMENIFANYIA AMANI LYRICS by Paul Clement

CHORUS
Amenifanyia amani
Amenifanyia amani
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia amani.

VERSE 1
Ni japo pita, kwenye bonde la mauti
Sitaogopa, maana wewe uko nami
Gongo lako na fimbo yako, eh Bwana vyanifariji
Wanifanyia amani.
Umesema, ya kwamba hutaniacha
Sababu mimi, ni mboni ya jicho lako
Bwana wanitazama, asubuhi, mchana, jioni
Eeh Bwana, kweli Mungu wa barakaCHORUS
Amenifanyia amani
Amenifanyia amani
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia amani.

VERSE 2
Amebadilisha uchungu wangu, umekua ni furaha yangu
Oh huyu Yesu amenipa furaha
Kanifanyia amani
Amebadilisha machozi yangu yamekuwa ni furaha yangu oooh!
Huyu Yesu amenipa furaha kanifanyia amani

CHORUS
Amenifanyia amani
Amenifanyia amani
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia amani.

VERSE 3
Furaha unipayo siyo kama ya dunia hii
Amani unipayo siyo kama ya ulimwengu huu
Wewe waniganga moyo nipatapo uchungu
Wanifanyia amani

CHORUS
Amenifanyia furaha
Amenifanyia furaha
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia furaha.

3 thoughts on “AMENIFANYIA AMANI LYRICS by Paul Clement

 • March 22, 2018 at 6:49 PM
  Permalink

  This song really ministers to my soul

 • July 22, 2018 at 2:47 PM
  Permalink

  Woooow love dz lyrics

 • August 11, 2018 at 12:01 PM
  Permalink

  Good one

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: