AKI LYRICS by NDUATI

AKI LYRICS by NDUATI

VERSE 1
Acha niwape story of how I met this mama
First time kumwona alikuwa ameinama
“Excuse me,” kutupa lugha nishaanza
“Kwani kwenu hakuna stool? Si aki umesimama
Akaniangalia viweird alafu akagiggle
Nikajua hapa I’m no longer single
Rusha jokes mbili tatu huyo ashachekacheka
Haya, sisi hao kuendelea na hekaheka
Conversation ikaflow ka mto Aberdare
Conversation ikagrow ka mti inamea
Lugha nzito ka titanic lazma ingesink
Wengine wakikula blue ticks me nakula winks
Sa ni obvious nishambamba
Ju before kumwitisha ashanipea namba
Naelekea nyumbani kila kitu iko fresh
Sijarealise ii yote imeleadiwa na the flesh aaaah

HOOK
Aki
Aki
Aki
Aki singefanya ivyo

VERSE 2
“Sasa? Nimekumiss! Nahope uko poa”
“Eeh! Nimelemewa tu na kahoma”
“Woiye kuja nikuchunge Hadi upone
By the way kuna movie naweza taka tuone”
Nasafisha nyumba nadai impress
Kiherehere hadi kitchen ati me ni chef
Simu ishaingia, “ndio nimefika”
“Karibu ata ndio nimemaliza kupika”
So yes ilianza tukiwatch movie ya action
Soon, ni movie inatuwatch tukiwa action
Mmoja juu mmoja chini utadhani ni fraction
Punde nishadeposit ka Mpesa transaction
Ako na story mob anazidi tu kucheka
Nashindwa kukeep up, guilt imenimeza
Nimejiingiza shimo, kutoka nitaweza
Hata FB amechange her relationship status

HOOK
Aki
Aki
Aki
Aki singefanya ivyo

VERSE 3
At this point, me nataka tu aende
Haifai, but anything ndio Ii feeling iende
“Aah! Nafaa kuenda sokoni
Hakuna place ulikuwa unaenda jioni?
Nimekumbuka ata mum anakuja
Twende hapa nje nikubuyie weave ya Abuja?”
Nimetry kila kitu hadi nimechoka
Kwani mtoto wa Mugabe? Hataki kutoka
Finally akaleft, it left me thinking
Sijui hata jina yake ya pili
Najua siwezi taka kupata mkidi
Or worse still zile maugonjwa ka ukimwi
Dhambi kuu ni ati siheshimu Ile damu
Utamu dakika tatu inipeleke jehanamu
Aaarg! Yesu wangu nafsi yangu tawala
Bila Wee nitafall short ka Inspekta Mwala

HOOK
Aki
Aki
Aki
Aki singefanya ivyo

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: